Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

MAJINA YA UHAMISHO WA WATUMISHI JULY 2015 HAYA HAPA


Image result for NGAO YA TAIFA

Uhamisho kwa Watumishi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa July 2015.

 

Image result for NGAO YA TAIFA
10-Julai-2015.
Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI inatangaza orodha ya Majina 4655 ya watumishi wa Umma waliohamishwa katika Mamlaka za Serikali za Mitaa nchini July 2015. Aidha orodha ya watumishi 115 ambao hawakukidhi vigezo vya kuhama nayo imetangazwa.
Maelekezo yote muhimu yapo katika barua ambayo kila mtumishi atapatiwa kupitia kwa Wakurugenzi wa Mamlaka wanazotoka.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright Zinduko la Jamii
Back To Top