Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

HAYA NDIYO ALIYOYASEMA KOVA BAADA YA KUKAMATWA KWA YALE MAJAMBAZI YA JANA,,, MTOTO WA MIAKA 13 AUSIKA KWENYE TUKIO!!!!!!!!!!!!!!




Majambazi wakamatwa hii leo mchana Tazara wakikimbia baada ya kupora fedha Milioni zaidi ya 25 katika kituo cha mafuta cha Lake Oil ambazo zilikuwa katika moja ya magari yaliyoingia kujaza mafuta kituoni hapo. Katika gari la Polisi ni watuhumiwa hao wa ujambazi Taarifa zaidi. 

 Huyu ni muuza CD ambaye alikuwa katika gari dogo aina ya Toyota Pick Up na mara majambazi walipoivamia yeye aliruka na kuanza kutimua mbio na Polisi kudhani ni jambazi linakimbia hivyo kuanza kumfukuzia na kumkamatia Uwanja wa mpira jirani na soko la Vetenari.


 Mmoja wa watuhumiwa akivuja damu huku mwenzake akiwa amelala chini
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright Zinduko la Jamii
Back To Top