Haya
hii ya leo ngoja niwatobolee siri kidogo tu kwenye upande wa mapenzi.
unajua wanawake bwana tupo kama mayai ukiyaminya kidogo tu huwa
yanapasuka.. sasa wengi wanaume huwa wanabaki kuropoa “wanawake
hawaeleweki” WANATAKA TUWEJE?
Mwanamke huwa anapenda sana kuambiwa ukweli
japo wengi wanadai eti bila kudanganywa hatuingiliki, Wanawake wengi
hupenda kuspend muda wake zaidi na wake mpenziuliko na marafiki zake.
Mwanamke hupenda mwanaume anaejali zaidi kuliko mbabaishaji “sasa wewe
jifanye gogo tuone kama utapata mrembo” Jeuri ufanyiapo mwanamke dhahir
huwa unamvunja moyo na hukushusha thamani yako pindi umfanyiayo yakawa
yale yanayo mdharaulisha zaidi Mthamini mpenzi wako hata ukiwa na watu
wengi, onyesha unajali kuwa nae karibu, hujiona wa pekee Mwanamke
hupenda kusikilizwa japokuwa wanaume hujifanya vichwa na kutuona hatuna
la kuongea lakini sio kweli ni fikra zenu tu. Msikilize mpenzi wako uone
kama na wewehatokusikiliza Mwanamke huthamini sana msg za mpenzi wake
kuliko simu apigiwayo na mwenza wake, maana kuona faraja zaidi pindi
asomapo msg hizo zaidi ya kupoteza muda kusubiri apigiwe au akupigie.
Msifie mkeo ama mchumba wako pindi apendezapo na kumpa faraja pindi
aumizwapo. Msikilize mchumba wako na usitumie lugha ya ukali akuombapo
ushauri bali jaribu kuchunguza zaidi nini atakacho kwako. Kila lililo
dogo usilikuze bali lipe nafasi yake katika kutoa kipingamizi ama
makubaliano.lasivyo utasababisha kutokujiamini.Onyesha unajali Mkumbuke
kila wakati hata mara2 kwa siku Punguza jeuri na kauli chafu ukifananya
kati ya hayo hutopata misukosuko mingi na kumbuka kujishusha endapo
ufanyapo kosa na acha kutumia mabavu zaidi kuliko upole. haya jamani ni
hayo tu labda utaona umuhimu wa mwenza wako zaidi ya kuliko kutoa lawama
juu yake, wapendwa kama hamtojali kama kuna ambayo wakina kaka nao
wanataka kutoa kero zao uwanja wenu.
- See more at: http://bongolaivu.blogspot.com/2015/07/unaambiwa-hiki-ndicho-kitu.html#sthash.ZK9z3kBQ.dpufـ

- See more at: http://bongolaivu.blogspot.com/2015/07/unaambiwa-hiki-ndicho-kitu.html#sthash.ZK9z3kBQ.dpuf![]() |

- See more at: http://bongolaivu.blogspot.com/2015/07/unaambiwa-hiki-ndicho-kitu.html#sthash.ZK9z3kBQ.dpuf |

- See more at: http://bongolaivu.blogspot.com/2015/07/unaambiwa-hiki-ndicho-kitu.html#sthash.ZK9z3kBQ.dpuf
Post a Comment