Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

UKIMFANYIA MAMBO HAYA MWENZA WAKO DAIMA HAMTAACHANA,,, INGIA HAPA KUPATA UNDANI ZAIDI

TENDO
Sauti za Kimahaba Huchangia kiasi kikubwa kuamsha mshawasha kwa Mwenzi wako na kumfanya kujisikia raha na aman wakati wa tendo na hivyo kumfanya asiweze kupoteza hamu ya kufanya tendo hilo, Hivyo unatakiwa kuwa mbunifu wakati wa Tendo.
Mihemko hiyo inaweza kuwa ni Ile miguno ya Hapa na pale pia Sauti za chini kwa chini (sio mayowe ambayo yanaweza kumfanya Mwenzi wago kuhisi kama anakuumiza). Hivyo inashauriwa kuwa makini katika utoaji wa sauti hizo kwani zikizidi pia inaweza kuwa kero kwa mwenzi wako na kumfanya kupoteza Hamu ya Tendo hilo.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright Zinduko la Jamii
Back To Top