Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

HII NAPA STORY NZIMAAA YA ULE MKASA ULOMKUTA BEN POL WA BOTI KUZAMA MAJINI,,,, INASIKITISHA SANA!!!!

Msaniii wa Rnb Ben Pol amenusurika kupoteza maisha yake baada ya boti waliokuwa wakisafiria kutoka mbudya kuzama. Hii ni taarifa aliyotupa na kilichotokea.

Walionusurika
iambenpol "MUNGU MKUBWA NA NINAMSHUKURU SANA KWA KUNIPA NAFASI NYINGINE YA KUISHI DUNIANI, We had a very bad experience today, Tumekaa ndani ya maji kwa zaidi ya lisaa, in the middle of nowhere, baada ya boat tuliyopanda kuingia maji na engine kuzimika, maji yalizidi kujaa , Boat ikazama, Cha kushukuru mungu wengi tulivaa life jackets, na baada ya kukaa majini kwa zaidi ya lisaa ilipita boat ya Wavuvi Wakatuona, Ila kati ya wote tuliyokuwepo kuna mtu mmoja hatujui alipo, na hakuwepo kati ya watu tuliyookolewa, Hawa unaowaona hapa ndio tuliopona, Wanawake watatu, watoto hao walikuwa watatu, wanaume tulikuwa nane, lakini mmoja ndiye hatujui alipo"- Aliandika kupitia ukurasa wake wa Instagram
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright Zinduko la Jamii
Back To Top