Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

BREAKING NEWS:- HAYA HAPA NDIO MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2015




 


OWM-TAMISEMI-Matokeo ya Kujiunga na Kidato Cha Tano Juni 2015


Jumla ya wanafunzi 55,003 wakiwemo wasichana 23,303 na wavulana 31,700 wamechaguliwa kujiunga na kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi.
Kati ya wanafunzi waliochaguliwa 29,744 wakiwemo wasichana 11,450 na wavulana 18,294 sawa na asilimia 54.08 watajiunga na masomo ya Sayansi Hisabati na wanafunzi 25,259 wakiwemo wasichana 11,853 na wavulana 13,406 sawa na asilimia 45.92 wamechaguliwa kusoma masomo ya sanaa na biashara .
Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na masomo ya kidato cha Tano 2015 wataanza muhula wa kwanza tarehe 18,Julai 2015.



MAJINA YA WANAFUNZI WANAOTAKIWA KUINGIA FORM 5 MWAKA 2015
BOFYA MANENO HAYA KUONA MAJINA YOTE YA WALIOCHAGULIWA KUINGIA FORM FIVE 2015


SIRI ZA LOWASA KUJAZA MALEFU ZIKO HAPA CHINI



Bofya Like,Niwe Nakutumia Habari Na Matukio yote Kila sik

author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright Zinduko la Jamii
Back To Top