Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

BREAKING NEWS:- HABARI ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE NI KWAMBA MBUNGE MWINGINE AFARIKI DUNIA.

Habari Mbaya kwa Watanzania Hasa wa Jimbo la Geita kwa kumpoteza Mbunge wao wa Jimbo Hilo alie fariki Usiku huu, Mbunge huyo siku za nyuma Alisharipotiwa kusumbuliwa na Ugonjwa wa Kansa ya Ubongo na akawa anapata Matibabu ya Kansa ya Ubongo Nchini India.
Donald Max
Donald Max (enzi za uhai wake)
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright Zinduko la Jamii
Back To Top